Tuesday, March 03, 2015

PINDA AAGANA NA BALOZI WA JAPAN

MIZ4Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Balozi wa Japan nchini, anayemaliza muda wake, Mhe.  Masaki Okada wakifurahia baada ya Waziri Mkuu kumkabidhi zawadi ya kitabu chenye picha na ramani ya jiji la Dar es salaam wakati Balozi huyo alipokwenda kwenye makazi ya Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Machi 2, 2015 kuaga. (picha na ofisi ya Waziri mkuu)MIZ3 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akikabidhi zawadi ya kinyago Balozi wa Japan nchini anayemaliza muda wake, Masaki Okada  ambaye alikwenda kwenye makazi ya Waziri Mkuu, Jijini Dar es salaam Machi 2, 2015 kuaga. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

UJIRANI MWEMA KATI YA NGORONGORO NA VIJIJI VYA JIRANI WAZIDI KUIMARISHWA

  Na Mwandishi Wetu Naibu Kamishna wa Uhifadhi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro anayesimamia Uhifadhi, Utalii na Maendeleo ya Jamii, Joas...