Wednesday, March 25, 2015

WADAU WAJADILI MUSWADA WA SHERIA YA BARAZA LA VIJANA TANZANIA

MT1Mwenyekiti wa Kamati ya Maendeleo ya Jamii, Said Mtanda (kushoto) akitoa mwongozo wa uchangiaji wakati wa Semina iliyowakutanisha Wadau wa Maendeleo ya Vijana, Kamati ya Maendeleo ya Jamii na Wizara husika, kujadili Muswada wa Sheria ya Baraza la Vijana Tanzania wa mwaka 2015, utakaowasilishwa Bungeni Ijumaa ya tarehe 27/03/2015. Kulia ni Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dkt. Fenella Mukangara. Semina hii imefanyika tarehe 23-24/03/2015 katika ukumbi wa Pius Msekwa, Mjini Dodoma.
MT2
Mwenyekiti wa Kamati ya Maendeleo ya Jamii, Said Mtanda (katikati) akitoa ufafanuzi wa jambo wakati wa Semina iliyowakutanisha Wadau wa Maendeleo ya Vijana, Kamati ya Maendeleo ya Jamii na Wizara husika, kujadili Muswada wa Sheria ya Baraza la Vijana Tanzania wa mwaka 2015, utakaowasilishwa Bungeni Ijumaa ya tarehe 27/03/2015. Wengine ni Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dkt. Fenella Mukangara (kulia) na Katibu wa Kamati ya Maendeleo ya Jamii, Hanifa Masaninga (kushoto). Semina hii imefanyika tarehe 23-24/03/2015 katika ukumbi wa Pius Msekwa, Mjini Dodoma.
MT3Muwakilishi kutoka Chuo Kikuu cha Dodoma, Mgaya Ezekiel akichangia wakati wa Semina ya kujadili Muswada wa Sheria ya Baraza la Vijana Tanzania wa mwaka 2015, utakaowasilishwa Bungeni Ijumaa ya tarehe 27/03/2015. Semina hii iliyofanyika tarehe 23-24/03/2015 katika ukumbi wa Pius Msekwa, Mjini Dodoma imewakutanisha Wadau, Kamati ya Maendeleo ya Jamii na Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo
MT4Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dkt. Fenella Mukangara(kulia) akifurahia jambo wakati wa Semina iliyowakutanisha Wadau wa Maendeleo ya Vijana, Kamati ya Maendeleo ya Jamii na Wizara husika, kujadili Muswada wa Sheria ya Baraza la Vijana Tanzania wa mwaka 2015, utakaowasilishwa Bungeni Ijumaa ya tarehe 27/03/2015. Kushoto ni Mwenyekiti wa Kamati ya Maendeleo ya Jamii, Said Mtanda. Semina hii imefanyika tarehe 23-24/03/2015 katika ukumbi wa Pius Msekwa, Mjini Dodoma.
MT5Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dkt. Fenella Mukangara(kulia) akifurahia jambo wakati wa Semina iliyowakutanisha Wadau wa Maendeleo ya Vijana, Kamati ya Maendeleo ya Jamii na Wizara husika, kujadili Muswada wa Sheria ya Baraza la Vijana Tanzania wa mwaka 2015, utakaowasilishwa Bungeni Ijumaa ya tarehe 27/03/2015. Kushoto ni Mwenyekiti wa Kamati ya Maendeleo ya Jamii, Said Mtanda. Semina hii imefanyika tarehe 23-24/03/2015 katika ukumbi wa Pius Msekwa, Mjini Dodoma.
MU
Muwakilishi kutoka YUNA (Youth of United Nations Association), Saidi King’eng’ena akitoa maoni wakati wa Semina ya kujadili Muswada wa Sheria ya Baraza la Vijana Tanzania wa mwaka 2015, utakaowasilishwa Bungeni Ijumaa ya tarehe 27/03/2015. Semina hii iliyofanyika tarehe 23-24/03/2015 katika ukumbi wa Pius Msekwa, Mjini Dodoma imewakutanisha Wadau, Kamati ya Maendeleo ya Jamii na Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...