Tuesday, March 24, 2015

RAIS WA MAHAKAMA YA AFRIKA YA HAKI ZA BINADAMU JAJI AGUSTINO RAMADHANI AHUTUBIA MKUTANO WA HAKI ZA BINADAMU

unnamed
Raisi wa Mahakama ya Afrika ya Haki za binadamu Jaji Agustino Ramadhani Akihutubia  mkutano wa Haki za binadamu uliofanyika juzi  jijini Arusha lengo la kuimarisha haki za binadamu na kushirikisha taasisi binafsi na za serikali katika kuisaidia Mahakama hiyo .
Picha na mahmoud ahmad arusha

No comments:

Mwili wa Hayati Askofu Mkuu Rugambwa wapokelewa Bukoba

Mwili wa Hayati Askofu Mkuu Novatus Rugambwa, aliyefariki hivi karibuni, uliwasili leo katika Kanisa Kuu la Bikira Maria wa Huruma, Jimbo Ka...