Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Bw. Sanya William ambaye ni mlemavu na wanawe Mussa, Nasma na Dickson baada ya kuhutubia mkutano wa hadhara mjini Bunda alikonda kuweka jiwe la msingi la mradi wa maji wa Bunda ikiwa ni moja ya shughuli za wiki ya maji Machi 20, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, MizengoPinda akisalimiana na Viongozi wa wilaya ya Busega mkoani Simiyu wakati aliposimama kwa muda mfupi kwenye makazi ya Mkuu wa wilaya hiyo akiwa njiani kwenda Mwanza akitokea Bunda alikoweka jiwe la Msingi la Mradi wa maji wa Bunda Machi 20, 2015.Kushoto ni Mkuu wa Wilaya Busega, Paul Mzindakaya. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA
Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...
-
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu na timu ya Wakurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa akiwa katika ...
-
NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA PSLE-2014 EXAMINATION RESULTS ARUSHA DAR ES SALAAM DODOMA IRINGA KAGERA KIGOMA ...
-
Adam Malima James Wanyancha Hamis Kagasheki RAIS Jakaya Kikwete ameteua Baraza la Mawaziri, huku likiwa na sura na damu mchanganyiko. Bar...
No comments:
Post a Comment