Friday, February 13, 2015

WATAALAM WA KUJITOLEA KUTOKA JAPANI WAWASILI NCHINI TANZANIA

KAT1Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma Bw. George D. Yambesi (katika kiti kikubwa) akiongea na wataalam wa kujitolea kutoka nchini Japani waliomtembelea ofisini kwake kujitambulishaKAT2Wataalam wa kujitolea kutoka nchini Japani wakipiga makofi kumshukuru Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma Bw. George D. Yambesi mara baada ya kuwakaribisha nchini kufanya kazi sekta mbalimbali.
KAT3Sehemu ya wataalam wa kujitolea kutoka nchini Japani waliokuja nchini kutoa huduma kwa kujitolea katika maeneo mbalimbali wakitoka nje ya Ofisi ya Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma baada ya hafla fupi ya kuwakaribisha nchini.
KAT4Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma Bw. George D. Yambesi (wa nne toka kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na wataalam wa kujitolea kutoka nchini Japani waliokuja kwa ajili ya kutoa huduma katika maeneo mbalimbali nchini.

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...