Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye akimvisha joho Kamanda wa vijana mkoa wa Kagera Dioniz Malinzi .
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye akimkabidhi mkuki Kamanda wa vijana mkoa wa Kagera Dioniz Malinzi wakati wa kumsimika kwenye uwanja wa Uhuru Platform maarufu kama uwanja wa Mayunga.
Saida Karoli akitumbuiza wakati wa sherehe hizo za usimikwaji wa kamanda wa vijana Dioniz Malinzi kwenye uwanja wa Uhuru,Mayunga Bukoba mjini.
Wananchi waliofurika kwenye uwanja wa Uhuru Platform ambapo Dioniz Malinzi alisimikwa ukamanda wa vijana mkoa wa Kagera
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia wananchi wa Bukoba mjini kwenye uwanja wa Uhuru Platform kwenye sherehe za usimikwaji wa Kamanda wa Vijana mkoa wa Kagera Dioniz Malinzi.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akisalimia wananchi waliojitokeza kwa wingi kwenye uwanja wa Uhuru ambapo shughuli za kumsimika Dioniz Malinzi kuwa kamanda wa vijana wa mkoa wa Kagera.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi akimtuza mtoto Amina Mbaraka Chilusadi aliyekuwa akicheza pamoja na Saida Karoli.
Bibi akisikiliza hotuba kwa makini.
Boda Boda wakiongoza msafara wa Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye kuelekea katika Uwanja wa Mayunga Uhuru Platform tayari kwa kumsimika Kamanda wa Vijana mkoa wa Kagera Dioniz Malinzi
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye (kulia) akiwasili uwanjani na gari ya wazi pamoja na Kamanda wa Vijana mkoa wa Kagera Dioniz Malinzi
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Taifa Nape Nnauye akivishwa skafu mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa Uhuru Platform tayari kwa shughuli ya kumsimika Kamanda wa Vijana wa CCM mkoa wa Kagera Dioniz Malinzi.

No comments:
Post a Comment