Wednesday, February 25, 2015

RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE APOKEA VITABU VYA SAYANSI KWA SHULE ZA SEKONDARI VILIVYOCHAPISHWA KWA MSAADA WA WATU WA MAREKANI

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mkuu wa Wilaya
ya 
Kinondoni Mhe Paul Makonda baada ya kuwasili katika Shule ya
Sekondari 
ya Mtakuja huko Kunduchi jijini Dar e salaam leo tayari kwa
kukagua 
ujenzi wa maabara na pia kupokea na kugawa vitabu vya
sayansi 
vilivyochapishwa  na Watu wa
Marekani.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikagua maabara katika Shule
ya 
Sekondari ya Mtakuja huko Kunduchi jijini Dar e salaam
ambako  pia 
alipokea na kugawa vitabu vya sayansi
vilivyochapishwa  na Watu wa 
Marekani. Wa kwanza
kulia ni Dkt Shukuru Kawambwa, Waziri wa Elimu na 
Mafunzo ya Ufundi,
akifuatiwa na mke wa Rais Mama Salma
Kikwete
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Mama Salma kikwete, Balozi
wa 
Marekani nchini Mhe Mark Childress, na viongozi wengine
wakiangalia jinsi somon
la sayansi likifundishwa katika darasa la Kidatu cha
pili Shule ya 
Sekondari ya Mtakuja huko Kunduchi jijini Dar e salaam
ambako  pia 
alipokea na kugawa vitabu vya sayansi
vilivyochapishwa  na Watu wa 
Marekani
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Mama Salma kikwete, Balozi
wa 
Marekani nchini Mhe Mark Childress, Dkt Shukuru Kawambwa,
Waziri wa 
Elimu na Mafunzo ya Ufundi,na viongozi wengine wakisalimia
wanafunzi 
katika   darasa la Kidatu cha pili Shule ya
Sekondari ya Mtakuja huko 
Kunduchi jijini Dar e salaam ambako  pia
alipokea na kugawa vitabu vya 
sayansi
vilivyochapishwa na Watu wa Marekani
 Rais  Jakaya Mrisho Kikwete na Balozi wa Marekani
nchini Mhe Mark 
Childress, wakiongea na mkandarasi wa maabara
ya  Shule ya Sekondari 
ya Mtakuja huko Kunduchi jijini Dar e salaam
ambako  pia alipokea na
 kugawa vitabu vya sayansi vilivyotolewa na Watu wa Marekani
 Rais  Jakaya Mrisho Kikwete, Mama Salma Kikwete
na Balozi wa 
Marekani nchini Mhe Mark Childress wakiwa na baadhi ya
wanafunzi wa 
Shule ya Sekondari ya Mtakuja huko Kunduchi jijini Dar e
salaam wakiwa 
na vitabu vya sayansi vilivyochapishwa  na Watu wa
Marekani
 Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Mtakuja
huko 
Kunduchi jijini Dar e salaam wakiimba kwa furaha katika
sherehe ya 
kukabidhiwa vitabu vya sayansi vilivyochapishwa  na
Watu wa Marekani
 Kikundi cha utamaduni cha jeshi la polisi kikitumbuiza
katika 
sherehe ya kukabidhiwa vitabu vya sayansi vilivyotolewa na
Watu wa 
Marekani
 Baadhi ya maafisa wa ubalozi wa Marekani wakiwa katika
katika 
sherehe ya kukabidhiwa vitabu vya sayansi
vilivyochapishwa  na Watu wa 
Marekani
 Rais  Jakaya Mrisho Kikwete akipokea baadhi ya vitbu
vya sayansi 
toka kwa  Balozi wa Marekani nchini Mhe Mark Childress,
Vitabu hivyo 
ambavyo vimesambazwa katika shule zote za serikali nchi
nzima 
vimechapishwa kwa msaada wa Watu wa
Marekani
 Rais  Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na  Balozi wa
Marekani nchini 
Mhe Mark Childress akigawa vitabu kwa wanafunzi wa
Shule ya Sekondari 
ya Mtakuja ya Kunduchi jijini Dar es salaam. Vitabu
hivyo, ambavyo pia
vimesambazwa katika shule zote za serikali nchi nzima
vimechapishwa kwa msaada wa Watu wa
Marekani.
 Rais  Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na  Balozi wa
Marekani nchini 
Mhe Mark Childress katika picha na baadhi ya
wanafunzi wa Shule ya 
Sekondari ya Mtakuja ya Kunduchi jijini Dar es
salaam baada ya 
kuwagawia vitbu vya sayansi. Vitabu hivyo, ambavyo
pia vimesambazwa 
katika shule zote za serikali nchi nzima
vimechapishwa kwa msaada wa 
Watu wa Marekani.
 Mwanafunzi wa Kidatu cha pili D, Khairat Nassor, akitoa
ushuhuda 
wa jinsi wanafunzi walivyokuwa na nafuu baada ya kupatikana
vitabu vya 
sayansi katika Shule ya Sekondari ya Mtakuja ya Kunduchi
jijini Dar es
 salaam. Vitabu hivyo, ambavyo pia vimesambazwa katika shule
zote za serikali nchi nzima vimechapishwa kwa msaada wa Watu wa Marekani
 Mama Salma Kikwete akiagana na walimu wenzake baada ya
sherehe 
za kukabidhi vitabu vya sayansi. katika Shule ya Sekondari
ya Mtakuja 
ya Kunduchi jijini Dar es salaam. Vitabu hivyo, ambavyo
pia 
vimesambazwa katika shule zote za serikali nchi nzima
vimechapishwa 
kwa msaada wa Watu wa Marekani.
 Mama Salma Kikwete akiagana na walimu wenzake baada ya
sherehe 
za kukabidhi vitabu vya sayansi. katika Shule ya Sekondari
ya Mtakuja 
ya Kunduchi jijini Dar es salaam. Vitabu hivyo, ambavyo
pia 
vimesambazwa katika shule zote za serikali nchi nzima
vimechapishwa 
kwa msaada wa Watu wa Marekani.
Picha zote na IKULU

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...