Baadhi ya bidhaa zilizoandaliwa kwa ajili ya wapendanao.
MABINGWA wa kuuza vipodozi vya ukweli, AK Classic Cosmetics wamewaandalia Valentine’s Special wale wote wanaowajali na kuwaenzi wapenzi wao.
OFA: Ukinunua bidhaa zozote zitakazofikia kiasi cha shilingi laki moja, utapata kifurushi cha bure cha zawadi za Valentine’s na ofa hii itaendelea mpaka mwishoni mwa mwezi huu.
Pata package maalum kwa ajili ya mpenzi wako kwa bei ya punguzo kabisa.
Bidhaa pendwa za Victorias Secrets, Lotion, Showergel, Lipstick, Lipgloss, Deodrant, Perfumes, Body Shaper, tiba za chunusi, bidhaa za kupunguza unene na uzito, bidhaa za kung’arisha ngozi n.k.
Karibuni dukani mjionee mambo kadha wa kadha. Bidhaa zinaweza kukufikia mpaka ulipo.
Tupo Mlimani City karibu kabisa na kituo cha mafuta cha Total na Kinondoni Manyanya jijini Dar.
Tupigie 0753482909 au kupitia WhatsApp +255 753482909
No comments:
Post a Comment