Tuesday, February 17, 2015

KAMPUNI YA TIGO YATOA MSAADA HOSPITALI YA TENGERU MKOANI ARUSHA

ti2Mkurugenzi wa Tigo Kanda ya Kaskazini Bw. David Charles (mwenye miwani kichwani) akiongoza wafanyakazi wenzake wa Kampuni ya Tigo kutoa msaada kwa wagonjwa wa Hospitali ya Tengeru kwenye siku ya Wapendanao mwishoni mwa wiki Mkoani Arusha.

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...