Tuesday, February 17, 2015

PINDA AKAGUA DAWATI LA BEI NAFUU NA IMARA

shig1Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua dawati  lenye ubora uliothibitishwa na Shirika la Viwango Tanzania lililouiniwa na kutengenezwa na Kampuni ya EDOSAMA HARDWARE ya jijini Dar es salaam, ofisini kwake Februari 16, 2015. Dawati hilo linalotengenezwa kwa mbao laini ambazo zimebanwa  bila kutumia misumari linakadiriwa kugharimu sh. 80,000/=. Wengine pichani  kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Kampuni hiyo, Eric Shigogo, Mkuu wa Idara ya Mikopo ya Benki ya TIB, Masanja Kungu, Ofisa Mazingira, Daniel Kapakala na Mkurugenzi Msaidizi wa Kampuni hiyo,Edward Saguda. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)shig2Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua dawati  lenye ubora uliothibitishwa na Shirika la Viwango Tanzania (TBS) lililobuniwa na kutengenezwa na Kampuni ya EDOSAMA HARDWARE ya jijini Dar es salaam. Dawati hilo linalotengenezwa kwa mbao laini ambazo zimebanwa  bila kutumia misumari linakadiriwa kugharimu sh. 80,000/=. Wengine pichani  kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Kampuni hiyo, Eric Shigogo, Mkuu wa Idara ya Mikopo ya Benki ya TIB, Masanja Kungu,  Ofisa Mazingira, Daniel Kapakala na Mkurugenzi Msaidizi wa Kampuni hiyo,Edward Saguda. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)shig3 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua dawati  lenye ubora uliothibitishwa na Shirika la Viwango Tanzania (TBS) lililobuniwa na kutengenezwa na Kampuni ya EDOSAMA HARDWARE ya jijini Dar es salaam. Dawati hilo linalotengenezwa kwa mbao laini ambazo zimebanwa  bila kutumia misumari linakadiriwa kugharimu sh. 80,000/=. Wengine pichani  kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Kampuni hiyo, Eric Shigogo, Mkuu wa Idara ya Mikopo ya Benki ya TIB, Masanja Kungu,   na Mkurugenzi Msaidizi wa Kampuni hiyo, Edward Saguda. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...