Umati wa waombolezaji ulioshiriki kwenye mazishi ya Mke wa Mwanamuziki Mkongwe hapa nchini,Bw. John Kitime,Marehemu Janeth Joan Chidosa Kitime alizikwa kwenye makaburi ya Kinondoni,jijini Dar es salaam.
Taratibu za mazishi zikiendelea kwenye makaburi ya Kinondoni, jijini Dar es salaam.
Mume wa Marehemu Janeth Joan Chidosa Kitime,Bw. John Kitime akitoka kuweka shada la maua kwenye kaburi la mkewe wakati wa mazishi yaliyofanyika jioni hii kwenye makaburi ya Kinondoni,jijini Dar es salaam.
No comments:
Post a Comment