Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakitoa heshima
zao za mwisho kwa Marehemu Esther Gigwa Hosea, Mama Mzazi wa
Mkurugenzi Nkuu wa TAKUKURU, Dkt Edward Hosea huko Msaki jijini Dar es
salaam leo.Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakimfariji
Mkurugenzi Nkuu wa TAKUKURU, Dkt Edward Hosea Msaki jijini Dar es
salaam leo walipofika heshima zao za mwisho kwa mama yake mzazi
Marehemu Esther Gigwa Hosea huko Msaki jijini Dar es salaam leo.Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete pamoja na Makamu
wa Rais Dkt Mohamed Ghariv Bilali, Katibu Mkuu kiongozi Balozi Ombeni
Sefue wakiwa pamoja na wafiwa wakati wa kuaga mwili wa Marehemu Esther
Gigwa Hosea, Mama Mzazi wa Mkurugenzi Nkuu wa TAKUKURU, Dkt Edward
Hosea huko Msaki jijini Dar es salaam leo.Sehemu ya wafiwa na waombolezaji wakati wa kuaga mwili wa Marehemu
Esther Gigwa Hosea, Mama Mzazi wa Mkurugenzi Nkuu wa TAKUKURU, Dkt
Edward Hosea huko Msaki jijini Dar es salaam leo.
PICHA NA IKULU

No comments:
Post a Comment