Pichani Balozi mpya wa Tanzania nchini Kenya Bwana John Haule akila kiapo mbele ya Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam leo asubuhi.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete leo amewaapisha Balozi mpya wa Tanzania nchini Kenya na Naibu Katibu mkuu wa Wizara ya Fedha.Katika hafla hiyo iliyofanyika ikulu jijini Dar es Salaam,
Rais Kikwete akimkabidhi vitendea kazi Bwana John Haule kuwa baada ya kumwapisha kuwa balozi mpya wa Tanzania nchini Kenya Naibu katibu mkuu Wizara ya Fedha, Dkt.Hamisi Mwinyimvua akila kiapo mbele ya Rais ikulu jijini Dar es Salaam leo.
No comments:
Post a Comment