Tuesday, July 01, 2014

TAASISI YA FARIDAS FOUNDATION YAZINDULIWA

 Farida A. Sekimonyo Mkurugenzi wa Faridas Foundation Akiomba Sala ya  Uzinduzi Rasmi katika uzinduzi wa taasisi hiyo wakati wa uzinduzi wake uliofanyika kwenye hoteli ya Blue Pear jengo la Ubungo Plaza jijini Dar es salaam mwishoni mwa wiki iliyopita.
 Mshehereshaji wa Shughuli ya uziinduzi wa Faridas Foundation Taji Liundi
 Elias Masaki katibu mkuu ‘CHAWATA’ na pia Mweka Hazina Shirikisho la watu wenye ulemavu akichangia  mawazo kuhusiana na jinsi Farida Foundation Inavyofanya kazi zake kwa Jamii
 Baadhi ya wageni waalikwa wakifuatilia maada mbalimbali zilizokuwa zikiendelea katika uzinduzi wa Faridas Foundation
Kassim  Kibwe Katibu wa “SHIVYAWATA” Temeke na Mwenyekiti wa Albino  akichangia maada Iliyokuwa ikiendelea katika uzinduzi wa Faridas foundation
Wageni waalikwa wakifuatilia kwa umakini Uzinduzi wa Faridas Foundation
Afisa Miradi wa Faridas Foundation Bw.Lumanus  akijadiliana Jambo Na Mkurugenzi Wa Faridas Foundation Bi Farida A.Sekimonyo
 Wasanii walemavu wajulikanao kama Mabaga Fresh waliojitokeza kutumbuiza kwenye uzinduzi wa Faridas Foundation wakifurahia mada zilizokuwa zinatolewa
 Kikundi  cha Mabaga Fresh Wakitoa Burudani kwenye uzinduzi wa Faridas Foundation

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...