Thursday, February 04, 2016

MWENYEKITI WA CCM DK. JAKAYA KIKWETE AWASILI MKOANI SINGIDA TAYARI KWA MAADHIMISHO YA MIAKA 39 YA CCM

1
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dk. Jakaya Kikwete akisalimiana na Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana wakati alipowasili mkoani Singida tayari kwa maadhimisho ya Miaka 39 ya kuzaliwa kwa CCM yanayotarajiwa kufanyika Februari 6 mwaka huu  siku ya Jumamosi kwenye uwanja wa Namfua mkoani humo, Kauli Mbiu ya maadhimisho ya mwaka huu ni “Kufanya Kazi”(PICHA NA JOHN BUKUKU-FULLSHANGWE-SINGIDA)
2
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dk. Jakaya Kikwete akisalimiana na viongozi mbalimbali wa chama cha Mapinduzi mkoani Singida wakati alipowasili mjini Singida.
3
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dk. Jakaya Kikwete akizungumza na Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana  wa pili  kutoka kulia  baada ya kuwasili mjini Singida , Kutoka kushoto ni Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Mkuu wa mkoa wa Singida Mh. Parseko Kone.
4
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dk. Jakaya Kikwete akifurahia jambo na Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana wakati walipokuwa na mazungumzao katikati ni Mkuu wa wilaya ya Singida Said Amanzi.
56
Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo akifurahia jambo na Kamanda wa polisi mkoa wa Singida ACP. Thobias Sedoyeka.
7
Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana.
9

No comments:

Rais wa Sierra Leone Awasili nchini

Rais wa Jamhuri ya Sierra Leone, Mheshimiwa Julius Maada Bio, amewasili jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Kilele wa Wak...