Kijiko cha Kampuni ya Udalali ya Mem Auctioneers and General Brokers Ltd kikibomoa nyumba za makazi ya watu na biashara zilizojengwa katika eneo la Kampuni ya Dar es Salaam Cold Makers Ltd lililopo Shekilango Sinza jijini Dar es Salaam jana asubuhi.
Kijiko kikibomowa moja ya baa zilizokuwepo eneo hilo jirani na Baa ya Rego iliyopo Sinza jijini Dar.
Wananchi, wamiliki wa nyumba na mabaa katika eneo wakiwa wamepigwa butwaa
Hapa ni kupiga picha eneo la tukio na huzuni tupu.
Kijiko kikibomoa nyumba ya ghorofa katika eneo hilo.
Askari Polisi na mgambo wakiwa eneo la tukio kuimarisha ulinzi.
Kontena likiondolewa katika eneo hilo inadaiwa mmiliki wa kontenta hilo aliuziwa eneo hilo miezi ya hivi karibuni kwa sh.milioni 400. hakika ni hasara kubwa
No comments:
Post a Comment