Naibu Waziri wa Kazi na Ajira na Mbunge wa Segerea anayemaliza muda wake, Mh. Dkt. Makongoro Mahanga, ametangaza rasmi kuihama CCM kutokana na kutokuwepo demokrasia ya lweli ndani ya CCM.
Amesema anafanya mazungumzo na Edward Lowassa pamoja na CHADEMA ili aweze kujiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo.
No comments:
Post a Comment