Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi ndugu John Pombe Magufuli amerudisha fomu ya kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) muda huu.
MGOMBEA urais kwa tiketi ya CCM, John Pombe Magufuli, leo amerudisha fomu ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).
NEC iliwataka wagombea wote wa urais kupitia vyama vyote vya siasa kurudisha fomu leo Agosti 21 baada ya kuzunguka mikoa ya Tanzania kutafuta wadhamini, ambapo vyama vyote hivyo viwili vimeonekana kukidhi vigezo na kurudisha fomu hizo.
No comments:
Post a Comment