Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ally Idd akiongozana na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu wakati kiongozi huyo wa kitaifa alipotembelea jengo la Nyumba za makazi za NHC Eco Residence la Shirika la Nyumba la Taifa kujua utekelezaji wa miradi ya Shirika hilo.
Nyumba za makazi za NHC Eco Residence zinavyoonekana hivi sasa. Nyumba hizo za makazi (units) 118 za mradi ujulikanao kama Eco Residence, uliopo katika eneo tulivu la Hananasif – Kinondoni, Dar es Salaam ni za gharama ya kati na juu zipo Kilomita 6 kutoka katikati ya jiji la Dar es salaam, zikiwa karibu kabisa na maeneo ya Oysterbay, Upanga na Masaki.Nyumba za makazi za NHC Eco Residence zinavyoonekana hivi sasa. Nyumba hizo za makazi (units) 118 za mradi ujulikanao kama Eco Residence, uliopo katika eneo tulivu la Hananasif – Kinondoni, Dar es Salaam ni za gharama ya kati na juu zipo Kilomita 6 kutoka katikati ya jiji la Dar es salaam, zikiwa karibu kabisa na maeneo ya Oysterbay, Upanga na Masaki.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akimpokea Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ally Idd, ambaye alitembelea jengo la Nyumba za makazi za NHC Eco Residence la Shirika la Nyumba la Taifa kujua utekelezaji wa miradi ya Shirika hilo.
Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ally Idd akiongozana na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu wakati kiongozi huyo wa kitaifa alipotembelea jengo la Nyumba za makazi za NHC Eco Residence la Shirika la Nyumba la Taifa kujua utekelezaji wa miradi ya Shirika hilo.
Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ally Idd akiongozana na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu wakati kiongozi huyo wa kitaifa alipotembelea jengo la Nyumba za makazi za NHC Eco Residence la Shirika la Nyumba la Taifa kujua utekelezaji wa miradi ya Shirika hilo.
Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ally Idd akiongozana na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu wakati kiongozi huyo wa kitaifa alipotembelea jengo la Nyumba za makazi za NHC Eco Residence la Shirika la Nyumba la Taifa kujua utekelezaji wa miradi ya Shirika hilo.
Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ally Idd akiongozana na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu wakati kiongozi huyo wa kitaifa alipotembelea jengo la Nyumba za makazi za NHC Eco Residence la Shirika la Nyumba la Taifa kujua utekelezaji wa miradi ya Shirika hilo.
Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ally Idd akiongozana na Mkurugenzi Mkuu Mchechu, wakati kiongozi huyo wa kitaifa alipotembelea jengo la Nyumba za makazi za NHC Eco Residence la Shirika la Nyumba la Taifa kujua utekelezaji wa miradi ya Shirika hilo.
Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Suleiman Iddi akiwa na mumewe Balozi Seif Ally Idd wakati walipotembelea jengo la Nyumba za makazi za NHC Eco Residence la Shirika la Nyumba la Taifa kujua utekelezaji wa miradi ya Shirika hilo.
Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ally Idd akisikiliza maelekezo wa Mhandisi Anna Mrema anayesimamia Jengo la Eco Residence kwa niaba ya NHC huku Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akifuatilia mazungumzo hayo wakati kiongozi huyo alipotembelea jengo la Nyumba za makazi za NHC Eco Residence la Shirika la Nyumba la Taifa kujua utekelezaji wa miradi ya Shirika hilo. Jengo hilo linajengwa na mkandarasi mahiri Estim Construction Limited.

No comments:
Post a Comment