Monday, August 24, 2015

KAMPENI ZA MAGUFULI ZAITIKISA MPANDA


 Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk.John Pombe Magufuli akiwasalimia wananchi wa Mpanda wakati akiwasili kwenye viwanja vya Azimio tayari kwa mkutano wa hadhara wa kampeni za CCM ambapo alihutubia wananchi hao waliojazana kwa wingi.
 Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk.John Pombe Magufuli akihutubia wananchi wa Mpanda mkoani Katavi na kuwaambia wananchi hao kuwa hatokuwa na msamaha kwa watu wasiotimiza majukumu yao.
  Waziri Mkuu Mhe. Mizengo pinda akimtambulisha Mgombea wa Urais wa CCM Dk. John Pombe magufuli kwa wakazi wa Katumba mkoani Katavi.
 Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk.John Pombe Magufuli akiwahutubia wakazi Mishamo mkoani Katavi .

 Wakazi wa Mishamo Katavi wakionyesha mabango ya kumchagua Magufuli kwenye mkutano wa kampeni.

Wananchi wa Mishamo wakimsikiliza Dk.John Pombe Magufuli kwenye mkutano wa kampeni za CCM mkoani Katavi.


  Waziri Mkuu Mhe.Mizengo Pinda akihutubia wakazi wa Katumba kwenye mkutano wa kampeni wa kumnadi mgombea wa CCM kwa nafasi ya Urais Dk. John Pombe Magufuli.

 Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk.John Pombe Magufuli akiwahutubia wakazi wa Katumba mkoani Katavi.
  Umati wa wakazi wa Katumba kwenye jimbo la Nsimbo wakimsikiliza Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk.John Pombe Magufuli.
















No comments:

RAIS DKT. SAMIA AKUTANA NA UJUMBE WA JUKWAA LA MABUNGE LA NCHI ZA MAZIWA MAKUU (FP-ICGLR) IKULU NDOGO TUNGUU, ZANZIBAR

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Kiongozi wa Jukwaa la Mabunge la...