Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na kuagana na Balozi wa Misri anayemaliza muda wake Mhe.Hossam Moharram Ikulu jijini Dar es Salaam leo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete wakiagana na Balozi wa Misri anayemaliza muda wake Mhe.Hossam Moharram Ikulu jijini Dar es Salaam leo.
(picha na Freddy Maro)
No comments:
Post a Comment