Friday, August 21, 2015

RAIS KIKWETE AMUAPISHA BALOZI MPYA WA TANZANIA NCHINI ZIMBABWE


 Rais Jakaya Kikwete akimuapisha Balozi mpya wa Tanzania nchini Zimbabwe, Luteni Jenerali Charles Lawrence Makakala katika hafla iliyofanyika leo Ijumaa Agosti 21, 2015 Ikulu Jijini Dar es Salaam.
 
   Rais Jakayta Kikwete akimkabidhi nyaraka za kazi Balozi Mpya wa Tanzania nchini Zimbabwe, Luteni Jenerali Charles Lawrence Makakala katika hafla iliyofanyika leo Ijumaa Agosti 21, 2015 Ikulu Jijini Dar es Salaam.
  
Rais Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Balozi Mpya wa Tanzania nchini Zimbabwe, Luteni Jenerali Charles Lawrence Makakala mara baada ya kumuapisha leo Ijumaa Agosti 21, 2015 Ikulu Jijini Dar es Salaam.
  Rais Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Balozi mpya wa Tanzania nchini Zimbabwe, Luteni Jenerali Charles Lawrence Makakala (wa tatu kushoto) pamoja na familia yake mara baada ya baada ya kumuapisha leo Ijumaa Agosti 21, 2015 Ikulu Jijini Dar es Salaam.
      Rais Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi Waandamizi wa Vyombo vya Ulinzi pamoja na Balozi Mpya wa Tanzania nchini Zimbabwe Luteni Jenerali Charles Lawrence Makakala mara baada ya kumuapisha iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam leo Ijumaa Agosti 21, 2015.
     Rais Jakaya Kikwete akibadilisha mawazo na Balozi mpya wa Tanzania nchini Zimbabwe, Luteni Jenerali Charles Lawrence Makakala mara baada ya baada ya kumuapisha leo Ijumaa Agosti 21, 2015 Ikulu Jijini Dar es Salaam. Wengine pichani ni Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Dkt. Mahadhi Juma Maalim na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue.
 Viongozi waandamizi wa Vyombo vya Ulinzi wakibadilishana mawazo wakati wa hafla ya kumuapisha Balozi mpya wa Tanzania nchini Zimbabwe, Luteni Jerenali Charles Lawrence Makakala, leo Ijumaa Agosti 21, 2015 Ikulu Jijini Dar es Salaam.


PICHA NA ISMAIL NGAYONGA.

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...