Mwanachama mpya wa PPF, akijaza fomu za mpango
wa uchagiaji wa hiari wakati wa utoaji huduma kwa wafanyakazi wa kampuni ya NOKIA pale Mlimani City jijini Dar es Salaam, Agosti 21, 2015. Kulia ni Afisa wa Kanda wa PPF, Upendo Singinika Sasi
wa uchagiaji wa hiari wakati wa utoaji huduma kwa wafanyakazi wa kampuni ya NOKIA pale Mlimani City jijini Dar es Salaam, Agosti 21, 2015. Kulia ni Afisa wa Kanda wa PPF, Upendo Singinika Sasi
Meneja Masoko wa PPF, Elihuruma Ngowi (kushoto), akimkabidhi zawadi mwanachama wa Mfuko huo, Raymond Ndambo
Elihuruma (kushoto) na mtaalamu wa mifumo ya comuter wa PPF, (Kulia), wakiangalia jinsi wanachama wa mfuko huo wanavyopata taarifa za michangu yao kupitia simu zao
Afisa Masoko mwandamizi wa PPF, Nelu Mwalugaja, (kulia), akimpatia maelezo ya huduma za Mfuko huo, Mwanachama wa PPF
Meneja Masoko wa PPF, Elihuruma Ngowi, akizungumza na waandishi wa habari
Msimamizi wa Kanda wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Upendo Walter Mazula, (kulia), akimkabidhi zawadi mwanachama mpya wa PPF, Raymond Ndambo, (katikati), huku Meneja Masoko wa PPF, Elihuruma Ngowi, wakati wa siku ya wafanyakazi wa kampuni ya NOKIA
Wataalamu wa mifumo ya computer wa PPF, wakifuatialia taarifa za Mwanachama (wapili kushoto)
Afisa wa Kanda wa PPF, Upendo, (kushoto), akimpatia zawadi Mwanachama wa Mfuko huo baada ya kupatiwa huduma
Msimamizi wa Kanda wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Upendo Walter Mazula, (aliyekaa), akimpatia maelezo Mwanachama wa Mfuko huo, (kushoto), wakati wa utoaji huduma kwa wafanyakazi wa NOKIA pale Mlimani City jijini Dar es Salaam
Khalfan Said Photojournalist K-VIS MEDIA
No comments:
Post a Comment