Thursday, August 27, 2015

MAMA SAMIA ANG’ARA KILIMANJARO NA ARUSHA

 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu, akihutubia umati wa wananchi katika mkutano wa hadhara wa kampeni za CCM, uliofanyika leo katika stendi ya daladala maarufu kwa jina la Samunge, jijini Arusha leo 
 Sehemu ya umati wa wananchi waliofurika kwenye mkutano huo jijini Arusha leo Continue reading →

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...