Mkurugenzi Mtendaji kanda ya Afrika na Kati kutoka Millard Brown Charles Foster akiwasilisha utafiti kuhusu teknolojia ya matangazo kwa bara la Afrika wakati wa semina na wadau wa vyombo vya habari,kampuni za matanganzo na vyombo vya habari leo jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Masuala ya Habari kutoka MillwardBrown Anderzej Suski akijibu baadhi ya masuali kutoka kwa wajumbe wakati wa mkutano wa masuala ya masoko ,matangazo na vyombo vya habari leo jijini Dar es Salaam.
Wadau na wataalamu wa masuala ya masoko na matangazo wakishiriki katika mada mbalimbali zilizokuwa zikitolewa na watoa mada wakati wa mkutano uliowakutanisha wadau hao leo jijini Dar es Salaam.
Wadau na wataalamu wa masuala ya masoko na m atangazo wakifuatili mada mbalimbali zilizokuwa zikitolewa na watoa mada wakati wa mkutano uliowakutanisha wadau hao leo jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment