Mgeni rasmi katika Maonyesho ya Kimataifa ya Biashara ya Ujenzi Buildexpo Africa 2015, ambaye ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Nehemia Kyando Mchechu akikata utepe kuashiria ufunguzi wa maonyesho hayo kwenye kituo cha kimataifa cha mikutano cha Mlimani City jijini Dar es Salaam
Mchechu akionyesha jarida la BuildMart ambalo nalo lilizinduliwa kwenye ufunguzi wa maonyesho hayo kwenye kituo cha kimataifa cha mikutano cha Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Mgeni rasmi katika Maonyesho ya Kimataifa ya Biashara ya Ujenzi Buildexpo Africa 2015, ambaye ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Nehemia Kyando Mchechu akikata utepe kuashiria ufunguzi wa maonyesho hayo kwenye kituo cha kimataifa cha mikutano cha Mlimani City jijini Dar es Salaam Mchechu akitembelea banda la maonyesho la kampuni ya Uturuki kwenye ufunguzi wa maonyesho hayo kwenye kituo cha kimataifa cha mikutano cha Mlimani City jijini Dar es Salaam
Mchechu akitembelea banda la maonyesho la kampuni ya China kwenye ufunguzi wa maonyesho hayo kwenye kituo cha kimataifa cha mikutano cha Mlimani City jijini Dar es Salaam
Maafisa watendaji wa Sirika la Nyumba la Taifa (NHC) wakiwa kwenye ufunguzi wa maonyesho hayo kwenye kituo cha kimataifa cha mikutano cha Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Mchechu akitembelea banda la maonyesho la la NHC kwenye ufunguzi wa maonyesho hayo kwenye kituo cha kimataifa cha mikutano cha Mlimani City jijini Dar es Salaam

Mkurugenzi wa Uendelezaji Miliki, Haikamen Mlekio akitia saini kitabu cha wageni kwenye banda la maonyesho la NHC kwenye ufunguzi wa maonyesho hayo kwenye kituo cha kimataifa cha mikutano cha Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Mchechu akitembelea mojawapo ya mabanda ya maonyesho kwenye ufunguzi wa maonyesho hayo kwenye kituo cha kimataifa cha mikutano cha Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Mchechu akitembelea mojawapo ya mabanda ya maonyesho kwenye ufunguzi wa maonyesho hayo kwenye kituo cha kimataifa cha mikutano cha Mlimani City jijini Dar es Salaam.Mchechu akitembelea mojawapo ya mabanda ya maonyesho kwenye ufunguzi wa maonyesho hayo kwenye kituo cha kimataifa cha mikutano cha Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Mchechu akitembelea mojawapo ya mabanda ya maonyesho kwenye ufunguzi wa maonyesho hayo kwenye kituo cha kimataifa cha mikutano cha Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Mchechu akitembelea mojawapo ya mabanda ya maonyesho kwenye ufunguzi wa maonyesho hayo kwenye kituo cha kimataifa cha mikutano cha Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Mchechu akitembelea mojawapo ya mabanda ya maonyesho kwenye ufunguzi wa maonyesho hayo kwenye kituo cha kimataifa cha mikutano cha Mlimani City jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment