Wednesday, July 01, 2015

RAIS WA ZANZIBAR DK SHEIN AFUTARISHA WANANCHI WETE, PEMBA

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (katikati)akishiriki katika swala ya magharibi iliyoswalishwa na Sheikh Jamal Mohammed Abeid kabla ya futari iliyotayarisha kwa Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Pemba jana jioni katika viwanja vya Ikulu ya Wete Pemba
 Waislamu wa Vijiji mbali mbali katika Mkoa wa Kaskazini Pemba wakiwa katika swala ya jamaa ya Magharibi katika viwanja vya Ikulu ya Wete Pemba kabla ya kushirikikatika futari iliyotayarishwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein kwa wananchi hao
 Waislamu na Waislamu wa Vijiji mbali mbali katika Mkoa wa Kaskazini Pemba wakiwa katika futari iliyotayarishwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein  katika viwanja vya Ikulu ya Wete Pemba
 Waislamu na Waislamu wa Vijiji mbali mbali katika Mkoa wa Kaskazini Pemba wakiwa katika futari iliyotayarishwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein katika viwanja vya Ikulu ya Wete Pemba,
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kulia) akiwa na Viongozi katika futari aliyowaandalia wananchi wa Mkoa wa Kaskazini  Pemba iliyofanyika  katika viwanja vya Ikulu ya Wete Pemba.
 Akinamama wa Vijiji tofauti vya  Mkoa wa Kaskazini Pemba wakiwa katika futari iliyotayarishwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein katika viwanja vya Ikulu ya Wete Pemba kwa wananchi hao
 Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein (katikati) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mwanajuma Majid na Bi Mauwa Daftari wakiwa katika futari iliyofanyika  katika Ikulu ya Wete Pemba ambayo imetayarishwa kwa wananchi wa Mkoa wa kaskazini Pemba,
 Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Omar Khamis Othman alipokuwa akitoa neno  la Shukurani kwa niaba ya wananchi wa Mkoa huo baada ya futari ya pamoja iliyotayarishwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein katika viwanja vya Ikulu Wete
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein(kushoto) akiagana na Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Pemba baada ya futari ya pamoja aliyoitayarisha katika viwanja vya Ikulu Wete
 Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein akiagana na Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Pemba baada ya futari ya pamoja aliyoitayarisha leo katika viwanja vya Ikulu Wete
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein akiagana na Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Pemba baada ya futari ya pamoja aliyoitayarisha leo katika viwanja vya Ikulu Wete. Picha na Ikulu, ZNZ

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...