Wednesday, July 01, 2015

RAIS WA ZANZIBAR ALI MOHAMED SHEIN AREJESHA FOMU

1
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akirejesha Fomu za kuomba ridhaa ya Chama kumchagua kuwa Mgombe Urais wa Zanzibar kupitia Chama Chake kwa Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai katika Ukumbi wa Ofisi ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja.
[Picha na Ikulu.]
2
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akitia saini kitabu maalum wakati wa kurejesha Fomu za kuomba ridhaa ya Chama kumchagua kuwa Mgombe Urais wa Zanzibar kupitia Chama Chake  CCM  katika Ukumbi wa Ofisi ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja.
3
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akitia saini kitabu maalum wakati wa kurejesha Fomu za kuomba ridhaa ya Chama kumchagua kuwa Mgombe Urais wa Zanzibar kupitia Chama Chake  CCM  katika Ukumbi wa Ofisi ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja akiwa na familia yake waliomsindikiza.
4
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akipeana mkono na Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idii baada ya kurejesha Fomu za kuomba ridhaa ya Chama kumchagua kuwa Mgombe Urais wa Zanzibar kupitia Chama Chake  CCM  katika Ukumbi wa Ofisi ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja.
5Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akitoka nje ya Jengo la Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja akifuatana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar mara aliporejesha Fomu za kuomba ridhaa ya Chama kumchagua kuwa Mgombe Urais wa Zanzibar kupitia Chama Chake  CCM  katika Ukumbi wa Ofisi ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja.
6
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na Viongozi mbali mbali waliomsindikiza nje ya Jengo la Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja   mara aliporejeshaFomu za kuomba ridhaa ya Chama kumchagua kuwa Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama Chake  CCM  katika Ukumbi wa Ofisi ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja.

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...