Wednesday, July 01, 2015

BANDA LA AFRI-TEA &COFFEE BLENDERS (1963)LIMITED,KATIKA MAONYESHO YA SABASABA WAIBUKA NA BIDHAA MPYA YA UJI BORA


Mkuu wa Masoko wa Afri-Tea& Coffee Blenders (1963)Limited, Zachy Mbenna akikagua bidhaa za Afri-Tea& Coffee Blenders katika banda la maonyesho ya Sabasaba ya 39 ya kimataifa ya kibiashaya yanayoendelea kufanyika katika viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.
 Mteja akionja Uji Bora kama bidhaa mpya ambao hutengenezwa na Afri-Tea& Coffee Blenders (1963)Limited katika banda la maonyesho ya Sabasaba ya 39 ya kimataifa ya kibiashaya yanayoendelea kufanyika katika viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wananchi waliotembelea katika banda la banda la maonyesho ya Sabasaba ya 39 ya kimataifa ya kibiashaya yanayoendelea kufanyika katika viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.(PICHA NA EMMENUEL MASSAKA)

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...