Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu Frederick Sumaye na mkewe Esther katika Ibada ya kumuingiza kazini Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania, Askofu Frederick Shoo iliyofanyika kwenye kanisa kuu la KKKT mjini Moshi Januari 31, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Mkuu wa Kanisa la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Frederick Shoo (kulia) na Mkuu wa Kanisa hilo mstaafu, Askofu Alex Malasusa katika Ibada ya kumuingiza kazini Askofu Shoo iliyofanyika kwenye kanisa kuu la KKKT mjini Moshi januari 31, 2016.
(Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment