Mke wa Waziri Mkuu , Mama Tunu Pinda wapili kulia) akizungumza na baadhi ya wnawake walioshiriki katika futari iliyoandaliwa na Kamatiya Amani ya mkoa wa Dar es salaam kwenye ukumbi wa Karimjee Juni 3, 2015. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda alikuwa mgeni rasmi katika futari hiyo. Viongozi wa Kamati ya Amani ya Mkoa wa Mwanza pia walialikwa katika futari hiyo.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Baadhi ya washiriki wa futari iliyoandaliwa na Kamati ya Amani ya viongozi wa dini wa mkoa wa Dar es salaam kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es slaan Julai 3, 2013ambapo mgemoi rasmi alikuwa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda. Viongozi wa kamati ya Amani ya mkoa wa Mwanza pia walialikwa kwenye futari hiyo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
No comments:
Post a Comment