CBA BANK FAMILY DAY YAFANA VILIVYO

 Wafanyakazi wakishiriki katika michezo ya viungo mapema wakati wa kuanza tamasha hilo la michezo na burudani kwa wanafamilia ya Benki ya CBA mjini Bagamoyo.
Mkurugenzi Mtendaji wa CBA Tanzania Julius Mcharo akiongea na wafanyakazi wa benki hiyo katika tamasha la CBA Family Day iliyofanyika katika viwanja vya hoteli ya Ndoto Pole Pole,wilayani Bagamoyo mwishoni mwa wiki.
 Wana CBA na familia zao katika mchezo wa kuvuta kamba.
Wafanyakazi wakifurahi na kuburdika na familia zao baada ya uchovu wa majukumu ya kazi ya kila siku Wafanyakazi  na familia zao wakishiriki mazoezi  na michezo ya aina mbalimbali
Mkurugenzi Mtendaji wa  CBA Tanzania Julius Mcharo  akisalimiana na baadhi ya wafanyakazi wa benki hiyo na familia zao katika tamasha la CBA Family Day iliyofanyika katika viwanja vya hoteli ya Ndoto Pole Pole,wilayani Bagamoyo mwishoni mwa wiki.
Washindi katika michezo mbalimbali wakipokea zawadi.

Comments

Popular posts from this blog

JESHI LA MAGEREZA NCHINI WAJADILIANA NA NHC NAMNA YA KUENDELEZA MAKAZI MAKAO MAKUU DODOMA

Baraza Jipya la Mawaziri