Monday, December 01, 2014

Shule za msingi za Rightway zaadhimishwa miaka 10 ya kuanzishwa kwake
















Mgeni rasmi na Mkurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akizungumza wakati wa mahafali ya shule ya Msingi ya Rightway, Mbezi Beach Jijini Dar es Salaam, Kulia kwa Mkurugenzi ni Mercy Luhanga ambaye ni Mkurugenzi washule hizo na anayemfuatia ni Meneja wa Shule hiyo Moses Kyando.
Wahitimu wa darasa la saba wakicheza muziki kuonyesha vipaji vyao wakati wa mahafali ya shule ya Msingi ya Rightway, Mbezi Beach Jijini Dar es Salaam



Keki inayoashiria kutimizwa kwa miaka kumi tangu kuanza kwa shule za Rightway wakati wa mahafali ya shule ya Msingi ya Rightway, Mbezi Beach Jijini Dar es Salaam


Baadhi ya wahitimu wa darasa la saba na wazazi wao wakati wa mahafali ya shule ya Msingi ya Rightway, Mbezi Beach Jijini Dar es Salaam
Baadhi ya wageni waaalikwa waliofika katika hafla hiyo iliyovutia sana 
Mgeni rasmi na Mkurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akimpa mkono Blandina Kidda kwa kufanya vizuri katika masomo yake wakati wa mahafali ya shule ya Msingi ya Rightway, Mbezi Beach Jijini Dar es Salaam leo, Kulia kwa Mkurugenzi ni Mercy Luhanga ambaye ni Mkurugenzi washule hizo na anayemfuatia ni Meneja wa Shule hiyo Moses Kyando.
Wazazi wa Blandina Kidda wakiwa na mtoto wao wakati wa mahafali ya shule ya Msingi ya Rightway, Mbezi Beach Jijini Dar es Salaam
Mgeni rasmi na Mkurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akimpa mkono Barwany Mchechu kwa kufanya vizuri katika masomo yake wakati wa mahafali ya shule ya Msingi ya Rightway, Mbezi Beach Jijini Dar es Salaam.
Mgeni rasmi na Mkurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akiwa katika picha ya pamoja na Blandina Kidda wakati wa mahafali ya shule ya Msingi ya Rightway, Mbezi Beach Jijini Dar es Salaam, Kushoto kwa Mkurugenzi ni Mzazi wa Blandina Fatma Chillo na kulia kwa Blandina ni Mercy Luhanga ambaye ni Mkurugenzi washule hizo na anayemfuatia ni Meneja wa Shule hiyo Moses Kyando.
Wafanyakazi wa Shule ya msingi ya Rightway wakiwa katika picha ya pamoja na wakurugenzi wakati wa mahafali ya shule ya Msingi ya Rightway, Mbezi Beach Jijini Dar es Salaam.

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...