Mwalimu Laurentia Bahati enzi za uhai wake.
Kitabu cha kumbukumbu.
Waombolezaji wakiweka saini katika kitabu cha kumbukumbu.
Waombolezaji wakiweka saini katika kitabu cha kumbukumbu.
Baadhi ya wanafunzi waliowahi kufundishwa na marehemu mwalimu Laurentia Bahati wakimfariji mtoto wa marehemu, Angela Bahati (kushoto).
Mwalimu Omari akimpa pole jaji mstaafu, Antony Bahati kwa kufiwa na mke wake.
Waombolezji wakipata chakula.
Wakati wa chakula.
Wakati wa chakula.
Wanafamilia na waombolezaji wengine wakiwa nyumbani kwa marehemu, Oysterbay.
Jeneza lililokuwa na mwili wa marehemu.
Wanafamilia.
Wanafamilia.
Jaji Bahati (katikati) akiwa na watoto wake.
Picha ya marehemu.
Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo, Ahmed Kipozi akitoa heshima za mwisho.
Baadhi ya wanafunzi waliofundishwa na mwalimu Laurentia Bahati enzi za uhai wake wakitoa heshima za mwisho.
Watoto wa marehemu wakitoa heshima za mwisho.
Mtoto wa marehemu, Angela Bahati akitoa heshima za mwisho.
Mtoto wa marehemu, Thomas akitoa heshima za mwisho.
Mtoto wa marehemu, Angela Bahati akiwa na mtoto wake, Antony.
Waombolezaji wakiwa kanisani.
Mwili wa marehemu ukiwasili makaburini.
Mbunge wa Ubungo, John Mnyika (katikati) akiwa na waombolezaji wengine.
Jaji mstaafu, Antony, Bahati akiweka shada la maua katika kaburi la mke wake, Laurentia Bahati wakati wa mazishi yake yaliyofanyika katika makaburi ya Kinondoni.
Jaji Mkuu mstaafu wa Tanzania, Agustino Ramadhani akiweka shada la maua.
Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo, Ahmed Kipozi akiweka shada la maua.
Jaji mstaafu Antony Bahati akiondoka makaburini baada ya mazishi ya mke wake, Laurentia Bahati
Watoto wa marehemu wakiwa katika picha ya pamoja.
Jeneza likishushwa kaburini.
Jaji mstaafu, Antony Bahati akiweka udongo katika kaburi la mke wake, marehemu Laurentia Bahati
Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mhandisi Evarist Ndikilo akiweka shada la maua pamoja na mke wake.
Mtoto wa marehemu, Angela Bahati na mume wake wakiweka shada la maua.
Jaji Mkuu mstaafu, Barnabas Samatta akiteta jambo na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi, Jaji Damian Lubuva.
Wanafamilia wakiwa katika picha ya pamoja.
Wajukuu wa marehemu wakiweka mashada ya maua.
Naibu Waziri wa Nishati na Madini,Charles Kitwanga (kulia) akiwa na baadhi ya walimu waliowahi kufanyakazi na marehemu enzi za uhai wake.
Waombolezaji wakiwa nyumbani.
Wanafamilia wakiwa Kanisani.
Jaji Mark Bomani (wa pili kushoto) akitoa heshima za mwisho.
Padri Kizito Ngogoti SAUT-Mwanza akibariki Kaburi la marehemu Laurentia Bahati ambaye alikuwa mke wa Jaji mstaafu, Antony Bahati wakati wa mazishi yake yaliyofanyika katika makaburi ya Kinondoni.
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Jaji Damian Lubuva (kushoto) akimpa pole Jaji mstaafu, Antony Bahati wakati wa mazishi ya mke wake, Laurentia Bahati yaliyofanyika katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki.
Mmoja wa wanafamilia, Abdul Njaidi akitoa utaratibu wakati wa ibada ya mazishi.
Padri akiweka maji ya baraka katika jeneza la marehemu Laurentia Bahati.
No comments:
Post a Comment