Monday, December 22, 2014

PINDA AWASILI QATAR KWA ZIARA YA KIKAZI

unnamed1Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa na Mwenyeji wake Waziri Mkuu wa Qatar Sheikh Abdullah Nasser Al Thani baada ya kuwasili kwenye Ofisi ya Waziri Mkuu wa Qatar  iliyopo Doha kwa mazungumzo ya kiserikali akiwa katika ziara ya kikazi nchini humo Desemba 21, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)unnamed2Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akiongozwa na Waziri Mkuu wa Qatar, Sheikh  Abdullah Nasser Al Thani  kwenda  kwenye chumba  cha mikutano  baada ya kuwasili kwenye Ofisi ya Waziri Mkuu huyo  iliyopo Doha  kwa mazungumzo ya kiserikali akiwa katika ziara ya kikazi nchini humo Desemba 21, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
unnamed4Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Waziri Mkuu wa Qatar , Sheikh Abdullah  Nasser Al Thani kwenye Ofisi ya  Waziri Mkuu huyo iliyopo Doha Desemba 21, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...