Monday, December 08, 2014

MAMLAKA YA MAPATO TANZANIA(TRA)WAIBUKA KIDEDEA TUZO ZA NBAA

SAM_0581
Naibu Waziri   wa  Fedha   Adam  Malima  akimkabidhi Tuzo kamishna mkuu wa TRA Rished Bade katika kufunga mkutano  wa  mwaka  wa  wakaguzi  na  wahasibu  (NBAA) unaofanyika jijini  Arusha  ambapo TRA waliibuka kidedea katika tuzo za bodi ya uhasibu na ukaguzi  kwa kuongoza kundi la taasisi za serikali kwa kutoa hesabu bora nchi nzima(Habari Picha na Pamela Mollel wa Jamiiblog)
SAM_0579SAM_0578
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC). Clement Mshana akiwa anapokea tuzo kutoka kwa Naibu Waziri   wa  Fedha   Adam  Malima baada ya kushinda katika uandaaji bora wa mahesabu
SAM_0577
Naibu Waziri   wa  Fedha   Adamu  Malima akiwa anamkabidhi Mkurugenzi mkuu wa TANAPA Allankijazi tuzo kwa kushinda katika uandaaji wa mahesabu kiwango cha kimataifa katika mfumo wa uandaaji wa viwango  vinavyokubalika kimataifa
SAM_0591
Mhasibu mkuu wa wizara ya maliasili na utalii Layson Mwanjisi akipokea tuzo ya uandaaji bora wa taarifa  za mahesabu kutoka kwa Naibu Waziri   wa  Fedha   Adamu  Malima 
SAM_0593
Mkurugenzi mkuu NBAA Pius Maneno akipokea zawadi kutoka kwa Naibu Waziri   wa  Fedha   Adam Malima 
SAM_0595
Mwenyekiti wa bodi ya NBAA Pro.Isaya Jairo akipokea zawadi kwa kufanikisha kuandaa mkutano mkubwa  wa  mwaka  wa  wakaguzi  na  wahasibu  (NBAA)
SAM_0592
Naibu Waziri   wa  Fedha   Adamu  Malima  akimkabidhi Tuzo Mkaguzi mkuu wa ndani PPF Hosea Kashimba baada ya kushinda kwa kuwa waandaaji bora wa taarifa za hesabu kwa mwaka 2013.

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...