Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar akisalimiana na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi alipofika katika Viwanja vya Chuo cha Fidel Castro kuzungumza na Viongozi wa Mashina na Maskani za CCM akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama Wilaya ya Chake chake Pemba [Picha na Ikulu.]
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kusini Pemba Mshindo Hamad Mshindo (kushoto) akifuatana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein mara alipowasili katika Viwanja vya Chuo cha Fidel Castro kuzungumza na Viongozi wa Mashina na Maskani za CCM akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama Wilaya ya Chake chake Pemba. [Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar (wa pili kulia) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kusini Pemba (kushoto) na Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Chakechake wakiwa katika Ukumbi wa Mikutano wa Chuo cha Fidel Castro Mkutano wa Viongozi wa Mashina na Maskani za CCM akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama Wilaya ya Chake chake Pemba. [Picha na Ikulu.]
Wajumbe wa Mkutano wa Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani wakinyanyua mikono juuu kuunga mkono katiba iliyopendekewa mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar alipofanya mazungumzo na Viongozi hao katika ukumbi wa Chuo cha Fidel Castro Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba akiwa katika ziara za kuimarisha Chama .[Picha na Ikulu.]
Baadhi ya Viongozi wa Chama cha Mapinduzi ngazi ya Taifa wakiwa katika Mkutano wa Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani katika Wilaya ya Chake chake Uliohutubiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar katika ukumbi wa Chuo cha Fidel Castro Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba akiwa katika ziara za kuimarisha Chama Mkoani humo. [Picha na Ikulu.]
Baadhi ya Viongozi wa Chama cha Mapinduzi ngazi ya Taifa wakiwa katika Mkutano wa Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani katika Wilaya ya Chake chake Uliohutubiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar leo katika ukumbi wa Chuo cha Fidel Castro Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba akiwa katika ziara za kuimarisha Chama Mkoani humo. [Picha na Ikulu.]
No comments:
Post a Comment