Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Utalii nchini, Devota Mdachi (kushoto) na Mwenyekiti wa Kampuni ya Nakheel PSSC ya Dubai, Bw, Ali Lootan wakizungumza katika Mkutano wa Kuitangaza Tanzania na kuvutia wawekezaji wa Dubai uliofunguliwa na Waziri Mkuu mjini Dubai Desemba 17, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiongozwa na Meneja Mkuu wa Shamba la kufuga ng’ombe wa maziwa la Al Rawabi Dairy la Dubai, Dr. Ahmed Al Mansour (kulia kwake) kukagua shamba hilo akiwa katika ziara ya kikazi nhini humo Desemba 17, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment