Tuesday, December 16, 2014

RAIS DR SHEIN AONGOZA MKUTANO WA 8 WA BARAZA LA BIASHARA ZBC

unnamedRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Waziri wa Biashara,Viwanda na Masoko  Nassor  Ahmed   Mazrui wakati alipowasili katika viwanja vya Ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja kushiriki katika Mkutano wa 8 wa Baraza la Biashara la Zanzibar (ZBC) lililofanyika leo.[Picha na Ikulu.]
unnamed1Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi mbali mbali  wakati alipowasili katika viwanja vya Ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja kushiriki katika Mkutano wa 8 wa Baraza la Biashara la Zanzibar (ZBC) lililofanyika leo.[Picha na Ikulu.]
unnamed2Washiriki wa  Mkutano wa 8 wa Baraza la Biashara la Zanzibar (ZBC) wakiwa katika ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja ulipofanyika mkutano huo leo ulioongozwana Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani).[Picha na Ikulu.]unnamed3Wafanyabiashara mbali mbali na Viongozi wa taasisi za Serikali wakimsikiliza Mwenyekiti wa Mkutano wa 8 wa Baraza la Biashara  Zanzibar (ZBC) ambae ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alpokuwa akifungua mkutano huo uliofanyika leo katika ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja.[Picha na Ikulu.]
unnamed7Mhasibu Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Omar Hassan Omar akijibu masuala yaliyoulizwa wakati wa Mkutano wa 8 wa  Baraza la Biashara la Zanzibar (ZBC) ulilofanyika leo Ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja ambapo mwenyekiti wake alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani). [Picha na Ikulu.]
unnamed8Mfanyabiashara Taufuk Salum Turky alipokuwa akitoa mchango wake  na kuishauri Serikali kuchukua hatua za haraka katika kutoa maamuzi kwa miradi mbali mbali inayotaka kufunguliwa na wafanyabiashara wakati wa Mkutano wa 8 wa  Baraza la Biashara Zanzibar (ZBC) ulioendelea leo katika ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja.[Picha na Ikulu.]unnamed5Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiendesha mkutano wa 8 wa Baraza la Biashara la Zanzibar (ZBC) ulilofanyika leo Ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja (kulia) katibu Mkuu Kiongozi Dk.Abdulhamid Yahya Mzee.[Picha na Ikulu.]

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...