Jumuiya ya Wanafunzi wa Tanzania Wuhan (WUTASA) iliandaa sherehe ya kuwakaribisha wanafuzi wapya Watanzania Wuhan, China. (Mdau Abdul Saiboko alikuwa ni mmoja wa wanafunzi hao ambaye ndiye aliyetumuvuzishia matukio haya yanayoonyesha jinsi sherehe ilivyofana Wuhan nchini China kama wanavyoonekana baadhi ya wanafunzi wapya waliohudhuria sherehe hiyo wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa sherehe hiyo.(PICHA NA MDAU ABDUL SAIBOKO-WUHAN-CHINA) Mdau Abdul Saiboko wa kwanza kutoka kushoto na aadhi ya wadau wa China University of Geosciences (DIDA). wengine ni Yazidi, Masanja na Baraka. Baadhi ya wadau wakiwa kwenye picha ya pamoja na mwenyekiti wa WUTASA Bwana Thomas Mtaki (wa tatu kutoka kushoto).Katibu wa WUTASA bwana Mkoko akijaziwa mapochopocho.Baadhi ya wadau waliohudhuria.Mambo yakawa mduara kwa kwenda mbele kama inayoonyesha katika picha Mdau Kevin akiikunja nyonga vilivyo wakati akicheza.Mambo ya mduara.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA
Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...
-
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu na timu ya Wakurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa akiwa katika ...
-
NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA PSLE-2014 EXAMINATION RESULTS ARUSHA DAR ES SALAAM DODOMA IRINGA KAGERA KIGOMA ...
-
Adam Malima James Wanyancha Hamis Kagasheki RAIS Jakaya Kikwete ameteua Baraza la Mawaziri, huku likiwa na sura na damu mchanganyiko. Bar...
No comments:
Post a Comment