Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na mjukuu wake Ayman Ridhiwani Kikwete ikulu jijini Dar es Salaam muda mfupi baada ya kumalizika kisomo cha shukran kwa Mwenyezi Mungu kiklichofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam jana.Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwasalimia baadhi ya Mashekhe na wageni waliohudhuria hafla ya kisomo maalum cha Kumshukuru Mwenyezi Mungu baada ya kufanyiwa upasuaji na kurejea nyumbani salama kilichofanyika katika viwanja vya ikulu jijini Dar es Salaam jana.Mjukuu wa Rais, Ayman Ridhiwani Kikwete akicheza kwa furaha wakati Babu yake Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwashukuru wageni na Mashekhe waliohudhuria hafla ya kisomo maalum kilichofanyika katika viwanja vya ikulu jijini Dar es Salaam jana(picha na Freddy Maro)Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na mjukuu wake Ayman Ridhiwani Kikwete ikulu jijini Dar es Salaam muda mfupi baada ya kumalizika kisomo cha shukran kwa Mwenyezi Mungu kiklichofanyika ikulu jijini Dar es Salaam jana.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA
Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...
-
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu na timu ya Wakurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa akiwa katika ...
-
NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA PSLE-2014 EXAMINATION RESULTS ARUSHA DAR ES SALAAM DODOMA IRINGA KAGERA KIGOMA ...
-
Adam Malima James Wanyancha Hamis Kagasheki RAIS Jakaya Kikwete ameteua Baraza la Mawaziri, huku likiwa na sura na damu mchanganyiko. Bar...
No comments:
Post a Comment