Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mwakilishi wa Mpya wa Shirika la Afya Duniani (WHO) hapa Zanzibar Dr. Andemichael Ghirmay Redae alipofika kutambulishwa na Mwakilishi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Nchini Tanzania Rofaro Chatora (katikati) halfa hiyo ilifanyika leo Ikulu Mjini Zanzibar leo.[Picha na Ikulu.]Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza Mwakilishi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Nchini Tanzania Rofaro Chatora (katikati) wakati alipofika kumtambulisha Mwakilishi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) hapa Zanzibar Dr. Andemichael Ghirmay Redae (kushoto) Ikulu Mjini Zanzibar leo.[Picha na Ikulu.]Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiagana na Mwakilishi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) hapa Zanzibar Dr. Andemichael Ghirmay Redae baada ya mazungumzo yao leo alipofika kutambulishwa kwa Rais naMwakilishi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Nchini Tanzania Rofaro Chatora (katikati) Ikulu Mjini Unguja.[Picha na Ikulu.]
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA
Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...
-
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu na timu ya Wakurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa akiwa katika ...
-
NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA PSLE-2014 EXAMINATION RESULTS ARUSHA DAR ES SALAAM DODOMA IRINGA KAGERA KIGOMA ...
-
Adam Malima James Wanyancha Hamis Kagasheki RAIS Jakaya Kikwete ameteua Baraza la Mawaziri, huku likiwa na sura na damu mchanganyiko. Bar...
No comments:
Post a Comment