Monday, December 22, 2014

RAIS KIKWETE ATETA NA MWANAFUNZI BORA KOZI YA MAAFISA WA JESHI MONDULI

unnamed2Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Jenerali Davis Adolf Mwamunyange wakati wa hafla ya uwekaji jiwe la msingi kuzindua ujenzi wa nyumba za maafisa wa jeshi huko Monduli mkoani Arusha jana(picha na Freddy Maro)

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...