Tuesday, December 02, 2014

WAKAZI WA JIJI LA ARUSHA WAFURAHIA GULIO LA VODACOM EXPO


Afisa wa mauzo wa Duka la Simu la Bei nzuri la jijini Arusha,Martha Meena akitoa maelezo kwa wateja waliofika katika banda la duka hilo wakati wa gulio la punguzo kubwa la bei za simu za mkononi lijulikanalo kama Vodacom Expo linalofanyika katika uwanja wa Sheakh
Amri Abeid jijini Arusha.


Kikundi cha sanaa kikionesha umahiri katika uchezaji wa sarakasi.
Wateja wakitizama bidhaa mbalimbali zilizokuwa zikiuzwa kwa punguzo kubwa la Bei.
Mmoja wa vijana wa kikundi cha sanaa akionesha umahiri wake wa kuchezeza na Rola mbele ya wakazi wa jiji la Arusha(hawapo pichani) wakati wa gulio la simu zilizotolewa kwa punuzo kubwa la bei lililofanyika katika uwanja wa Sheaik Amri Abeid kwa siku mbili.
Afisa Mauzo wa VODASHOP Arusha ,Janeth Jonathan akizungumza na mmoja wa ateja waliofika katika gulio la punguzo za simu lililofanyika katika uwanja wa Sheaikh Amri Abeid jijini Arusha.
Afisa huduma kwa wateja wa Vodashop jijini Arusha,Samya Ulimwengu akitoa maelezo kwa mmoja wa wateja waliofika katika banda la Vodashop tawi la Sokoine Arusha kujipatia huduma ya simu ambazo zinapatikana katika Gulio la Simu za mkononi kwa punguzo kubwa la bei linalofanyika
katika uwanja wa Sheakh Ami Abeid jijini Arusha.
Burudani pia ilikuwepo uwanjani hapo.
Bidhaa za Sumsung  hususan Simu za mkononi zilipatikana katika mabanda haya 
Mamia ya wakazi wa jiji la Arusha wakiwa nje ya mabanda wakingojea kupatiwa huduma ya simu ambazo zimeuzwa katika Gulio la simu za mkononi kwa punguzo kubwa la bei lililofanyika kwa siku mbili katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha.
Baadhi ya wakazi wa jiji la Arusha waliofika katika mabanda ya Vodacom yaliyokuwa katika uwanja wa Sheaik Amri Abeid kwa ajili ya kupata huduma za simu za mkononi zilizokuwa zikipatikana uwanjani hapo kwa punguzi
kubwa la bei.
Baadhi ya wakazi wa jiji la Arusha waliofoka katika mabanda maalumu ya kuuzia Simu za Sumsung yaliyokuwa katika uwanja wa Sheaik Amri Abeid kwa ajili ya kupata huduma
za simu za mkononi zilizokuwa zikipatikana uwanjani hapo kwa punguzi kubwa la bei.
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii kanda ya kaskazini.

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...