Rais Kikwete akimsindikiza Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo, aliyekwenda kumjulia hali na kumpa pole Ikulu jijini Dar es salaam Jumanne Desemba 23, 2014.
Rais Kikwete katika picha ya pamoja na Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam,Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo, aliyekwenda kumjulia na kumpa pole hali Ikulu jijini Dar es salaam Jumanne Desemba 23, 2014.
Rais Jakaya Kikwete akimlaki Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam. Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo, aliyekwenda kumjulia hali na kumpa pole Ikulu jijini Dar es salaam Jumanne Desemba 23, 2014.
Rais Kikwete akiongea na Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam. Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo, aliyekwenda kumjulia hali na kumpa pole Ikulu jijini Dar es salaam Jumanne Desemba 23, 2014.
No comments:
Post a Comment