Monday, December 15, 2014

Wastaafu wa NHC waagwa rasmi

 Wastaafu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) Mama Amina Salum na Herman Mwakigosi wakitafakari jambo wakati wa hafla ya kuwaaga  iliyofanyika Ijumaa jioni kwenye viwanja vya ofisi ya NHC mkoa wa Temeke na kufuatiwa na burudani ya kukata na shoka iliyoporomoshwa na bendi ya muziki ya African Minofu Band.
 Herman Mwakigosi na mkewe wakati wa hafla ya kuwaaga  iliyofanyika Ijumaa jioni kwenye viwanja vya ofisi ya NHC mkoa wa Temeke na kufuatiwa na burudani ya kukata na shoka iliyoporomoshwa na bendi ya muziki ya African Minofu Band.

Mama Amina Salum na Mwanaye wakati wa hafla ya kuwaaga  iliyofanyika Ijumaa jioni kwenye viwanja vya ofisi ya NHC mkoa wa Temeke na kufuatiwa na burudani ya kukata na shoka iliyoporomoshwa na bendi ya muziki ya African Minofu Band.

Meza ya wageni mahususi waliokuwa wameandaliwa hafla ya kuagwa iliyofanyika Ijumaa jioni katika viwanja vya NHC Temeke
Meza ya wageni mahususi katika hafla iliyofanyika Ijumaa jioni kwenye viwanja vya ofisi ya NHC mkoa wa Temeke na kufuatiwa na burudani ya kukata na shoka iliyoporomoshwa na bendi ya muziki ya African Minofu Band.
Wageni waalikwa wa shughuli hiyo wakifuatilia mwenendo wa hafla hiyo.
Meneja wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) mkoa wa Ilala Jackson Maagi akitoa nasaha zake kwa wastaafu.
 MC wa Shughuli hiyo Asubi Mwaigusye akisherehesha shughuli hiyo

 Meneja wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) mkoa wa Temeke Wenceslaus Titllya akitoa nasaha zake kwa wastaafu.

Wanamuziki wa Bendi ya African Minofu Band wakitumbuiza katika hafla hiyo ya kuwaaga wastaafu wa Shirika la Nyumba la Taifa 
 Sosthenes Mbilango wa Shirika la Nyumba la Taifa akifuatilia mwenendo wa tafrija hiyo.

Mama Maembe, Angelina Magazi na na Flora Metha wakifuatilia kwa karibu hafla hiyo ya kuwaaga wastaafu 

 Zawadi za wastaafu zikiwa zimewekwa wakati wa hafla ya kuwaaga  iliyofanyika Ijumaa jioni kwenye viwanja vya ofisi ya NHC mkoa wa Temeke.
 African Minofu Band wakiwajibika jukwaani wakiwa na Gwiji Marceli Kibera wakiporomosha burudani katika hafla hiyo.
 Salma Kimanyo akifuatilia hafla hiyo.
 Herman Mwakigosi akipongezwa kati hafla hiyo
 Msoma risala ya kuwaaga wastaafu hao
 Mgeni rasmi katika hafla hiyo Muungano Kasibi Saguya aliyemwakilisha Mkurugenzi wa Utawala na Usimamizi wa Mikoa (DROA), Raymond Mndolwa akimkabidhi Herman Mwakigosi zawadi yake ya friji aliyopzawadiwa na wafanyakazi wenzake.

Mgeni rasmi katika hafla hiyo Muungano Kasibi Saguya aliyemwakilisha Mkurugenzi wa Utawala na Usimamizi wa Mikoa (DROA), Raymond Mndolwa akimkabidhi Amina Salumu zawadi yake ya friji aliyopzawadiwa na wafanyakazi wenzake.

Mgeni rasmi katika hafla hiyo Muungano Kasibi Saguya aliyemwakilisha Mkurugenzi wa Utawala na Usimamizi wa Mikoa (DROA), Raymond Mndolwa akiwa katika picha ya pamoja na wastaafu pamoja na watumishi wengine wa NHC.

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...