Friday, September 05, 2014

Vingozi wa Dini Wamtembelea Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Samuel Sitta Bungeni Mjini Dodoma na Kumpongeza wa kitendo chake cha kuliendesha Bunge hilo vizuri katika hali ya utulivu na amani, waongoza dua ya kuiombea Bunge Maalum la Katiba

Sheikh Hemed Jalala (kushoto) akikabidhi kitabu kwa Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta (kulia),  kinachoitwa ‘Kilele cha Fasaha’ kinachohusu maadili na uongozi.
Sheikh Hemed Jalala (kushoto) akiongoza dua ya kuiombea Bunge Maalum la Katiba. Kulia ni Mwenyekiti wa Bunge hilo, Mhe. Samuel Sitta na katikati ni Mjumbe wa Bunge hilo, Mhe. Yassmin Alloo.
Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Mhe. Samuel Sitta (kulia) akitoa neno la shukrani kwa Sheikh Hemed Jalala (kulia) mara baada ya kukamilisha mazungumzo yaliyofuatana na dua maalum ya kuiombea Bunge hilo 03 Septemba, 2014.
Sheikh Hemed Jalala (kushoto) akisisitiza jambo wakati wa mazungumzo na Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta (wa kwanza kulia)  03 Septemba, 2014 mjini Dodoma.Katikati ni Mjumbe wa Bunge hilo, Mhe. Yassmin Alloo.
Sheikh Hemed Jalala akizungumza na Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba (hayupo pichani) wakati alipotembelea Bunge Maalum 03 Septemba, 2014 kwa ajili ya kumpongeza kwa kazi kubwa na nzuri anayoifanya.
Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Mhe. Samuel Sitta akimsikiliza Sheikh Hemed Jalala (hayupo pichani) wakati alipotembelewa Bunge Maalum la Katiba mjini Dodoma.
Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Mhe. Samuel Sitta (wa kwanza kulia) akitoa maelezo kuhusiana na maendeleo ya Bunge hilo wakati alipotembelewa Bunge Maalum la Katiba mjini Dodoma. Katikati ni Mjumbe wa Bunge hilo, Mhe. Yassmin Alloo na kushoto ni Sheikh Hemed Jalala.

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...