Monday, September 08, 2014

NHIF YATETA NA WASANII BASATA

2Meneja wa Mfuko wa Bima ya Afya ya Taifa NHIF tawi la Ilala Bw.Christopher Mapunda akizungumza na washiriki wa semina katika ya shirika hilo na Wasanii mbalimbali iliyofanyika kwenye ukumbi waBaraa za la Sanaa nchini BASATA ili kupata elimu juu ya huduma za  afya zinazotolewa na  shirika hilo kwa vikundi mbalimbali na mashirika pamoja na taasisi mbalimbali za serikali, kulia ni Mkwabi Fikirini Meneja Udhibiti na ubora na Hans Mwankenja Ofisa Mwandamizi matekelezo.3Baadhi ya maofisa wa shirika hilo wakiwa katika semina hiyo.4Washiriki wa semina hiyo wakijisomea majarida waliyogawiwa kwenye semina hiyo56Meneja wa Mfukwa Bima ya Afya ya Taifa NHIF tawi la Ilala Bw.Christopherse Mapunda akisisitiza jambo  wakati wa semina hiyo, kutoka kushoto ni Bona Masenge Afisa Sanaa BASATA, Frora Mgonja Afisa Utawala BASATA na Deogratius Nchimbi Afisa Sheria BASATA wakishiriki katika semina hiyo.7Baadhi ya maofisa wa shirika hilo wakiwa katika semina hiyo8Baadhi ya wasanii wakiandika mambo muhimu yaliyokuwa yakijadiliwa katika semina hiyo9Mashairi aliyeng’ara na Kundi la Wagosi wa Kaya, Fred Maliki ‘Mkoloni’akichangia mada wakwati alipokuwa akiuliza swali katika semina hiyo10Baadi ya wanamuziki wa muziki wa dansi wakiwa katika semina hiyo.12Mwimbaji wa muziki wa taarabu Siza Mazongela alikuwa ni mmoja wa wasanii walioshiriki katika semina hiyo.13Mmoja wa washiriki wa sanaa ya  filamu akiuliza swali. 15Baadhi ya maofisa kutoka mfuko wa LAPF ambao nao walitoa mada katika semina hiyo1617Super Nyamwela mnenguaji mahiri kutoka bendi ya Exta Bongo kulia akiwa katika semina hiyo na washiriki wengine.

No comments:

Rais Samia Aongoza Mkutano Mkuu Maalum wa CCM Jijini Dodoma

Dodoma, 18 Januari 2025 – Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameo...