Monday, September 08, 2014

BENKI YA EXIM YASHIRIKI MAONYESHO KATIKA SIKU YA WAHANDISI 2014

ENG PIX 1Meneja Biashara Kubwa na Uwekezaji wa Benki ya Exim Tanzania, Bw. Justin Wambali (kulia) akimpatia kipeperushi chenye maelezo ya huduma zitolewazo na benki ya Exim mmoja kati ya wahandisi alipotembelea banda la benki hiyo wakati wa Siku ya Wahandisi inayoadhimishwa kila mwaka iliyoambatana na maonyesho ya biashara yaliyofanyika Mlimani City jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Wa pili kulia ni Meneja Msaidizi Biashara Kubwa na Uwekezaji wa Benki hiyo, Bw. Joseph Lema na Bw. Thobius Samwel (watatu kulia) ambaye pia ni Meneja Msaidizi Biashara Kubwa na Uwekezaji wa benki hiyo.  Picha na mpiga picha wetu.ENG PIX 2Meneja Msaidizi Biashara Kubwa na Uwekezaji wa Benki ya Exim Tanzania, Bw. Joseph Lema (Katikati) akizungumza na baadhi ya wahandisi kuhusu huduma zitolewazo na benki ya Exim walipotembelea banda la benki hiyo wakati wa Siku ya Wahandisi inayoadhimishwa kila mwaka iliyoambatana na maonyesho ya biashara yaliyofanyika Mlimani City jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Kulia ni Meneja Biashara Kubwa na Uwekezaji wa Benki hiyo, Bw. Justin Wambali na Meneja Msaidizi Biashara Kubwa na Uwekezaji Thobius Samwel (watatu kulia).  Picha na mpiga picha wetu.ENG PIX 3Meneja Msaidizi Biashara Kubwa na Uwekezaji wa Benki ya Exim Tanzania, Bw. Thobius Samwel (watatu kulia) akizungumza na baadhi ya wahandisi kuhusu huduma zitolewazo na benki ya Exim walipotembelea banda la benki hiyo wakati wa Siku ya Wahandisi inayoadhimishwa kila mwaka iliyoambatana na maonyesho ya biashara yaliyofanyika Mlimani City jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Kulia ni Meneja Biashara Kubwa na Uwekezaji wa Benki hiyo, Bw. Justin Wambali na Meneja Msaidizi Biashara Kubwa na Uwekezaji Joseph Lema (Katikati).  Picha na mpiga picha wetu.ENG PIX 4Meneja Biashara Kubwa na Uwekezaji wa Benki ya Exim Tanzania, Bw. Justin Wambali (kulia) akizungumza na Mhandisi Fedson Tella (kushoto) kuhusu huduma zitolewazo na benki ya Exim alipotembelea banda la benki hiyo wakati wa Siku ya Wahandisi inayoadhimishwa kila mwaka iliyoambatana na maonyesho ya biashara yaliyofanyika Mlimani City jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Picha na mpiga picha wetu.

No comments:

RAIS SAMIA APONGEZWA KUWEZESHA UJENZI OFISI KUU WMA

  ✅ Katibu Mkuu Viwanda na Biashara amshukuru Rais kutumia vyema fedha za Watanzania ✅Akagua ujenzi Jengo la WMA na kukiri kuridhishwa ✅Mten...