Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta akiongoza Bunge hilo leo 8 Septemba, 2014 Bungeni mjini Dodoma.
Wajumbe wa Kamati mbalimbali za Bunge Maalum la Katiba wakiendelea kuwasilisha taarifa toka katika kamati zao mbalimbali leo 8 Septemba, 2014 Bungeni mjini DodomaWajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Augustino Mrema (kushoto) pamoja na Mhe. Steven Wasira wakiteta jambo wakati wa Bunge hilo leo 8 Septemba, 2014 Bungeni mjini Dodoma.
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba wakifuatilia uwasilishwaji wa taarifa toka kamati mbalimbali za Bunge hilo leo 8 Septemba, 2014 Bungeni mjini Dodoma.
Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samia Suluhu Hassan (kulia) akijadiliana na Mzee Kingunge Ngomale Mwiru wakati wa Bunge hilo leo 8 Septemba, 2014 Bungeni mjini DodomaMjumbe wa Kamati namba Tano, Mhe. Asha-Rose Migiro akijadiliana na mjumbe wa kamati nyingine, Mhe. Maua Daftari wakati wa Bunge hilo leo 8 Septemba, 2014 Bungeni mjini Dodoma.
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba wakifuatilia uwasilishwaji wa taarifa toka kamati mbalimbali za Bunge hilo leo 8 Septemba, 2014 Bungeni mjini Dodoma.Wanafunzi toka shule ya Sekondari ya Kizota iliyopo mjini Dodoma wakifuatilia uwasilishwaji wa taarifa za kamati mbalimbali mara walipotembelea kwenye mafunzo maalum katika bunge hilo leo 8 Septemba, 2014 Bungeni mjini Dodoma.
No comments:
Post a Comment